JANUARY MAKAMBA, MAKAME MBARAWA WAREJEA BARAZA LA MAWAZIRI

 Kifo cha Rais John Pombe Magufuli: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais  wa Tanzania - BBC News Swahili

 

RAIS Samia Suluhu amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo.


1.               Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa

2.               Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa

3.               January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati

4.               Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi

5.               Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali

 

No comments