CAF YAZUIA MASHABIKI VIWANJANI KLABU BINGWA, SHIRIKISHO

 National Stadium (Tanzania) - Wikipedia

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuwa michezo ya raundi ya awali Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kuchezwa bila ya watazamani (mashabiki) uwanjani .

TFF imesema kuwa imefanya mawasiliano na klabu zote zinazoshiriki michuano hiyo na kuwapa maelekezo hayo.

“Ni vyema klabu zikafuata masharti kama yalivyoelekezwa, tunaendelea na jitihada kuhakikisha tunakubaliana na masharti ya CAF pia kuhakikisha mechi zinazofuata zinaruhusiwa kuingiza watazamaji.

No comments