YANGA YAPIGWA NA ZANACO SIKU YAO KWA MKAPA

HUYO aliyezungushiwa duara ndo mzee Mpili
Katika siku ambayo mashabiki waliitikia wito na kujaaa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wingi, timu ya Yanga iumewaangusha mashabiki wake baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 toka kwa wageni wao, Zanaco ya Zambia. Awali timu yao ya vijana ilichapwa 3-1 na akinadada wakatoka sare.

Post a Comment