HAMZA AZIKWA KISUTU USIKU HUU

 Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na maandishi

\KIJANA Hamza Mohammed aliyeuawa na Polisi katika majibizano ya risasi jijini Dar es Salaam wiki hii, amezikwa leo usikuy katika makaburi ya Kisutu, usku wa saa mbili, leo Jumapili.

Hamza aliwaua askari wanne kabla ya yey kuuawa pia katika kisi ambacho Watanzania hawakijui, lakini wanasubiri ripoti ya uchunguzi kutoka Polisi

No comments