TETESI_NDEMLA KUTUA KMC



Inaweza kuwa picha ya Watu 4, watu wanasimama na ndani

Wakati Simba ipo kambini Morocco kwaajili ya Pre season baadhi ya wachezaji wamerudi kujiunga na Taifa stars ,huku pia Said Ndemla nae tayari amerudi kufanya maandalizi ya kutua KMC FC kwa mkopo. 📝Ndemla anatarajiwa kupelekwa kwa mkopo KMC kutokana na kukosa nafasi katika kikosi cha Simba.

No comments