MZEE ASAS AFARIKI DUNIA

 0F0135F9-2149-4970-9E46-090029E0E31C.jpeg

MKURUGENZI Mtendaji  (CEO)wa Kampuni ya Asas Group of Companies, Alhaji Faraji Ahmed Abri (Mzee Asas) amefariki dunia.

Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo imesema mzee Asas amefariki leo Ijumaa Agosti 13, 2021 jijini Dar es Salaam na kwamba atazikwa katika makaburi ya Kisutu baada ya swala ya Ijumaa.

Familia imeomba watu kutofika nyumbani kwa marehemu.

 

No comments