MWANDIKO WA JK GUMZO MITANDAONI

INGAWA Rais Mstaafu
Jakaya Mrisho Kikwete maarufu kama JK hayupo madarakani kwa miaka sita sasa,
lakini bado amebaki kuwa mioyoni mwa watanzania wengi.
Hivi karibuni
imeibuka shangwe baada ya mtu mmoja asiyejulikana kuleta barua inayodaiwa kuwa
ya JK akimuandikia Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni na hivyo kuleta
mjadala mkubwa mitandaoni juu ya ukweli wa mwandiko huo.
Hii hapa barua hiyo
inayodaiwa kuandikwa na JK.


Post a Comment