MECHI YA KWANZA YA MESSI WA PSG LEO

 Perfect harmony': Lionel Messi seals PSG move as he signs two-year contract  | Lionel Messi | The Guardian

 

KOCHA wa PSG, Mouricio Pochettino amethibitisha kuwa, Lionel Messi atakuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha kwanza watakaoshuka katika Dimba la Stade Auguste-Delaune kuchuana na Reims katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Ufaransa (Ligue 1). 

Hii itakuwa na mechi ya kwanza kwa nyota huyo wa Argentina akiwa PSG, alikotua akitokea timu yake ya tangu utotoni, Barcelona. 


No comments