JUMUIYA ZA KIMATAIFA ZAHUDHURIA KESI YA MBOWE MAHAKAMA KUU

 Baadhi_ya_Mabalozi_na_Maafisa_Balozi_mbalimbali_waliofika_kuhudhuria_kesi_aliyoifungua_Mheshim...jpg

KESI aliyoifungua Freeman Mbowe Mahakama kuu dhidi ya IGP , DPP na AG ya kupinga namna alivyokamatwa Mwanza na kupewa kesi ya Ugaidi , imeendelea leo Mahakama Kuu na kuvuta wawakilishi kadhaa wa Jumuiya ya Kimataifa.

No comments