JINSI WAPANGA SHAMBULIZI UWANJA WA NDEGE AFGHANISTAN WALIVYOUAWA

PICHA inayoonyesha jinsi watuhumiwa wawili wanaodaiwa
kupoanga shambulizi lililofanywa Uwanja wa ndege waq Kabul huko Afghanistan
walivyouawa na ndege isiyo na rubani.
Inadaiwa wawili hao waliuliwa wakiwa wanaendesha pikipiki ya
mnatairi matatu maarufu kama guta.

Post a Comment