HUKUMU YA OLE SABAYA KUTOLEWA OKTOBA 1, 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili na kupanga kutoa hukumu ya Kesi hiyo Oktoba 01, 2021
-
Sabaya, Sylvester Nyegu na Daniel Mbura wanatuhumiwa kwa makosa matatu ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

Post a Comment