ASKOFU GWAJIMA, JERRY SLAA WAONDOLEWA KAMATI YA BUNGE

Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo.

No comments