YANGA KUWA NA CEO WAWILI- INJINIA HERSI SAID

MWENYEKITI wa kamati ya usajili wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema endapo mchakato wa mabadiliko unaoendelea kuhusu namna ya uendeshaji wa timu utakamilika, klabu hiyo itakuwa na maofisa watendaji wakuu(CEO) wawili.
Mmoja atakuwa na
jukumu la kusimamia soka pekee na mwingine atajishughulisha na biashara, kitu
ambacho kitainua ufanisi wa utendaji wa klabu katika shughuli zake za kila
siku.
Hersi alisema hayo
wakati akiendelea na mahojiano na kituo cha redio cha EFM cha Sports Head
Quarter.

Post a Comment