UHURU KENYATTA AONYWA NA JAJI MKUU KENYA


Martha Koome: Kenya ipo mbioni kuwa na jaji mkuu mpya mwanamke, Je  atakabiliwa na changamoto zipi? - BBC News Swahili

UOGA upo Bongo tu, sikia mambo ya kwa Nyayo...

Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama na kutoheshimu sheria za nchi. Jaji Koome amemhimiza Rais kuwateua majaji 6 aliowaacha nje,wakiwemo wawili waliopinga muswada wa kubadili katiba wa BBI.

No comments