TUNDU LISSU: ROMA MKATOLIKI NA NEY NI BORA KULIKO DIAMOND


Lissu asema ziara hiyo haina uhusiano na kampeni za uchaguzi | Matukio ya  Afrika | DW | 06.10.2020

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu ameibuka na kusema hawezi kumuunga mkono Diamond Platinums kwa vile licha ya ukubwa wa kazi yake, lakini hajawahi kusimama kwenye haki au kupinga maovu ya nchi hii.

Kupitia katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii aliandika.. "Mapenzi hayalazimishwi na uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. Diamond platinumzi sio Roma mkatoliki au Neytrueboy au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono."

 

No comments