DJUMA SHAABAN ANUKIA JANGWANI!

MLINZI anayeshambulia wa klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, Djuma Shaaban ananukia kwa mabingwa wa kihistoria Yanga.
Kwa mujibu wa tetesi zilizoenea jijini Dar es Salaam, zinasema Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili beki huyo kwa mkataba wa miaka miwili ambaye timu yake ni mabingwa wa Ligi Kuu.
Djuma raia wa DR Congo mwenye
umri wa miaka 28 baada ya msimu kuisha atawasili nchini Tanzania kwa ajili ya
kusaini mkataba.

Post a Comment