SABAYA ASOMEWA MASHTAKA SITA, APELEKWA MAHABUSU WIKI MBILI

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amesomewa mashtaka sita akiwa pamoja na wenzake watano yakiwemo makosa yasiyo na dhamana na hivyo atakaa mahabusu kwa muda wa wiki mbili hadi Juni 18, mwaka huu kesi yake itakapotajwa tena.
Miongoni mwa
mashtaka aliyosomewa ni pamoja na uhalifu wa kutumia silaha, utakatishaji
fedha, uhujumu uchumi, rushwa na kuongoza genge la uhalifu.
Mashtaka hayo
alisomewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Arusha.

Post a Comment