SAB AYA AFIKISHWA MAHAKAMANI ARUSHA

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa mahakamani leo jijini Arusha.
Sabaya alikamatwa
tangu Mei 25 na kwa muda wote huo amekuwa akihojiwa kwa tuhuma mbalimbali
zinazomkabili, zikiwemo vitisho, utekeji nyara, uporaji fedha na udhalilishaji
wa kingono.
Hata hivyo, hadi
habari hizi zinatufikia, Sabaya alikuwa bado hajapandishwa na kusomewa mashtaka
yake. Bado anasubiri katika mahabusu ya mahakama.

Post a Comment