RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UJUMBE WA PAUL KAGAME WA RWANDA


Rwanda′s President Kagame stokes tension with neighbors | Africa | DW |  04.01.2019
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Juni 3 mwaka huu, amepokea salamu maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame.

Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu Vincent Biruta, Rais Kagame alitoa pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli , alimpongeza kwa kupokea kijiti cha Urais na pia alimuhakikishia kuwa Rwanda itaimarisha ushirikiano na Tanzania.

 

No comments