MOBETO AJIKABIDHISHA KWA RICK ROSS MAREKANI


Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, gari na nje







MWANAMITINDO na msanii Hamisa Mabeto amejikabidhisha kwa rapa wa Marekani, Rick Ross baada ya kuulizwa katika ukurasa wake wa Instagram kama yupo tayari kusafiri kuelekea taifa hilo kubwa zaidi kiuchumi duniani.

Rick Ross alikomenti kwenye picha ya mrembo huyo aliyosimama mbele ya gari aina ya Range Rover kwa kuandikai:

“Your moving to (akaweka bendera ya Marekani)”

Mobeto naye akajibu kwa kuandika:

“All my bags are packed. I’m ready”.


No comments