MKUU WA WILAYA AKAMATA DHAHABU ZIKITOROSHWA

MKUU wa wilaya ya Ulanga Ngolo Malenya na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania, Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo.

Post a Comment