BASI LA CLASSIC LAPATA AJALI SHINYANGA


IMG_20210602_100118_891.jpg

WATU watatu wanadaiwa kufariki na wengine 34 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala kuelekea Dar kupata ajali eneo la Buyubi Shinyanga.

Baadhi ya majeruhi kwenye ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali hiyo kuwa dereva wa basi hilo alishindwa kuimudu kona ya Didia.

No comments