MBOWE ATANGAZA KUSTAAFU UENYEKITI CHADEMA 2023

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Alikael Mbowe ametangaza kustaafu rasmi nafasi hiyo baada ya miaka miwili ijayo.
Mbowe, mwanasiasa
ambaye anatajwa kuwa mvumilivu na aliyejawa na busara, amewahi kuwa Kiongozi
Rasmi wa Upinzani Bungeni, wakati huo chama chake kikiwa ndicho chenye wabunge
wengi zaidi baada ya CCM.
Anakiacha chama
hicho alichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20, kikiwa kimeshatoa tamko la
kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025, endapo nchi haitakuwa na Katiba Mpya au
Tume Huru ya Uchaguzi.

Post a Comment