MAKATIBU TAWALA WALA KIAPO MBELE YA RAIS SAMIA
KUFUATIA uteuzi wake kwa Makatibu Tawala wa Mikoa
aliowateua Mei 29 mwaka huu, viongozi hao leo wamekula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino.
Baada ya kula kiapo, viongozi hao watakula kiapo chas
uadilifu. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC
na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.

Post a Comment