MAAJABU YA MUUMBA, MJUE MWANAMKE ANAYEISHI BILA MOYO

SELWA Hussain ni mwanamke anayethibitisha umahiri wa kipekee wa muumba, kwani ndiye binadamu pekee anayeishi bila ya uwepo wa kiungo muhimu cha Moyo mwilini mwake.
Selwa, raia wa Uingereza ana kifaa maalum (moyo wa kutengenezwa) kwenye begi lenye Kg 6.8 kinachosukuma damu mwilini kwa njia ya umeme, ambacho kina gharama ya shilingi milioni 200 na hutumia sekunde 90 kubadili betri kinapoishiwa chaji.
Mungu ni mwema kila wakati,
muombe unachohitaji ukiwa popote atakusikia.

Post a Comment