BOSS LADY ZARI KUMUUNGA MKONO DIAMOND BET
MAMA Watoto wa Mwimbaji Diamond Platnumz ambaye amewasili nchini Tanzania akitokea Afrika Kusini anakoishi, akiwa katika shughuli zake za kibalozi wa bidhaa mbalimbali nchini, amesema atamuunga mkono Diamond Platnums katika Tuzo za BET.
Alipoulizwa kuhusu kum-support kwenye nomination za Tuzo ya
BET, Zari amejibu kwamba atafanya hivyo kwa kupost na wala hamna haraka,
vilevile kuhusu Ushindani wa Diamond, Burna Boy na Wizkid kwenye Tuzo hizo
amesema wote ni Wasanii wakali na yeyote anastahili kuwa Mshindi na anamtakia
kila la kheri atakayeshinda.

Post a Comment