ALIYEMUUA MMAREKANI MWEUSI JELA MIAKA 30


George Floyd killing: Ex-policeman Derek Chauvin appears in court charged  with murder | News | DW | 08.06.2020

 WAENDESHA Mashtaka wa Jimbo la Minnesota wanaomba mshukiwa wa mauaji ya George Floyd, Derek Chauvin apewe adhabu ya miaka 30 gerezani.

Hivyo, kwa mujibu wa Tmz kuna uwezekano mkubwa mtuhumiwa huyo kutumikia kifungo cha robo ya karne gerezani, ikiwa waendesha mashtaka hao watafikia uamuzi huo.

Katika tukio lililotokea Mei 2020, Chauvin alinaswa kwenye ukanda wa video akiwa amepiga goti juu ya shingo ya Bwana Floyd, Mmarekani mweusi, katika mji wa Minneapolis hadi kupelekea kifo, na kuchochea maandamano Marekani na dunia kote kupinga ukatili unaotekelezwa na polisi pamoja na ubaguzi wa rangi.

No comments