YANGA YATANGULIA NUSU FAINALI FA


Kaseke's strike downs Azam FC to propel Yanga SC to the top | Goal.com


Mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam kati ya Mwadui na Yanga umemaliza kwa Yanga kuibuka kidedea kwa ushindi wa goli 2-0
-
Matokeo hayo yanaipeleka Yanga hatua ya nusu fainali na itakutana na Biashara United iliyoingia hatua hiyo kwa kuitandika Namungo goli 2-0.

Mabao ya Yanga yamewekwa kambani na mshambuliaji wake mzawa, Deus Kaseke

No comments