HOUSE GIRL ASIMULIA ALIVYOMPA PENZI BABA MWENYE NYUMBA


House Girl Peeps While Husband And Wife Were Having Sex - P.M.EXPRESS

Picha siyo halisi

LEO nina kisa kimoja nilichokipata kutoka kwa mdada mmoja aliyekuwa msaidizi wa ndani katika nyumba moja hapa jijini Dar es Salaam miaka michache iliyopita...Kwa kuwa ni mkasa wa kweli, sitamtaja kwa jina lake halisi, bali katika mkasa huu, mtambue kama Vero..

"Mimi kwa kweli sina raha kabisa ndani ya moyo wangu, lakini wakati mwingine nashindwa kujilaumu, kwa sababu ilikuwa ni lazima nifanye hivyo ili kuiridhisha nafsi yangu na yake.

"Mimi kwetu ni Tabora, nilimaliza darasa la saba katika shule ya msingi Mwitongo Nzega, ambako nilikuwa naishi na shangazi yangu, wazazi wangu walitengana tangu nikiwa mdogo, kwa hiyo sijawahi kuishi nao kabisa, ila ninawafahamu maana huwa wanakuja kwa shangazi kila mtu kwa wakati wake.

"Baada ya kumaliza shule darasa la saba, sikufanikiwa kuendelea na masomo, nikawa tu nipo nyumbani. Siku moja shangazi yangu akaja akaniambia kuna rafiki yake anaishi Dar, anatafuta msichana ili ampeleke sehemu wanahitaji dada wa kazi.

"Shangazi hakuwa na maisha makubwa, hivyo akanishawishi kama vipi niende, maana ameambiwa huyo mtu anayehitaji msichana ana uwezo kifedha na anaweza kumlipa hadi laki moja kwa mwezi. Kwa kweli hizo zilikuwa ni hela nyingi sana kwetu, mimi nikasema niko tayari ili mradi tu shangazi awe anamuamini huyo rafiki yake.

"Wakawasiliana na huyo rafiki yake akatuma nauli ya mimi kwenda Dar. Nakumbuka ilikuwa Jumamosi moja hivi mwezi wa tano mwaka 2018 ndiyo siku nasafiri. Shangazi aliniingiza kwenye basi nimelisahau jina, wakati huo nilikuwa msichana wa miaka 15 tu.

"Ndiyo, pamoja na huo umri mdogo lakini nilikuwa tayari nimeshakuwa katika uhusiano. Mtu wa kwanza kutembea naye alikuwa mwalimu wetu shuleni. Huyu alikuwa ananichapa sana hata nikifanya kosa dogo tu, na tena alikuwa ananiambia wazi wazi eti nitakuchapa kila siku hadi unikubalie, mtoto mzuri hivo afu mie nikuache wengine wafaidi.

"Nikawa simwelewi, maana hakuwahi kunitongoza, siku moja jioni tukakutana kujle Nzega wakati natoka dukani, akaniambia twende nyumbani mara moja, nikajua ndiyo ananitaka hivyo, kwa kuwa nilikuwa nimechoka viboko nikaenda na kulala naye.

"Sasa nilipofika Dar, Ubungo pale, nikakutana na huyo rafiki wa shangazi, muda wote nikiwa safarini alikuwa akiwasiliana na kondakta. Tukaondoka pale Ubungo tukapanda bajaj akasema tunaenda Tabata. Basi tukafika kule nikaoga, nikala nikalala hadi kesho yake.

"Jioni akaja mdada mmoja hivi na gari. Nikamuamkia. Basi wakazungumza na huyo rafiki yake shangazi, wakasema msichana mwenyewe ndiyo huyu. Yule dada akanisifia kuwa ni mzuri na akaanza kuniuliza maswali kama najua kupika, kufua, kupiga pasi, kudeki na mambo mengine ya ndani, nikasema naweza. Basi akaniambia twende nyumbani nitakuwa nakulipa laki moja kwa mwezi, akisema ana mume na watoto wawili.

"Tukaenda kwake, kule Mbezi Beach. Ilikuwa nyumba kubwa na nzuri, sikuwahi kuingia kwenye nyumba kama ile kabla. Kwa kweli, niseme wazi, maisha yalikuwa ni mazuri sana siku za mwanzo, nilijitahidi kufanya kazi kwa kadiri ya uwezo wangu ili nimfurahishe bosi wangu.

"Mume wake naye alikuwa mtu mzuri tu, muda wote alikuwa mwenye tabasamu na hakuwahi kunituma kazi yoyote, maelekezo ya kila kitu nilipokeas kutoka kwa mama, kuanzia kufua, kupiga pasi, deki, kuwalisha watoto na kuwapeleka sehemu ya kupandia gari la shule na kuwafuata wakati wa kurudi.

"Nimeishi pale kama miezi sita hivi, mishahara yangu nilikuwa napewa kama kawaida, nusu nikawa namtumia shangazi zingine nabaki nazo mwenyewe nimeziweka kwenye simu niliyopewa pale nyumbani. Mama akaanza kunibadilikia, akawa kama mtu ambaye amegundua kitu hivi.

"Mimi sikujali kwa sababu tangu nifike pale, sijawahi hata kutoka nje kusema labda nilikuwa na uhusiano na kijana jirani au mume wake. Ila nahisi ni baada ya mimi siku moja mumewe akiwa amesafiri, nilimuona akija na mwanaume mmoja hivi usiku, wakati wameshuka nakumbuka kumuona amemkumbatia.

"Nahisi alijua kama nimemuona maana alipoingia ndani akaniuliza mbona umefungua mlango kabla sijabisha hodi, nikamwambia nilivyosikia mngurumo wa gari nikaamka na nilipochungulia nikakuona ndipo nikafungua mlango.

"Basi akawa anaanza kunipelekapeleka sana, ananifokea bila sababu za msingi, mara aanze kunishambulia jinsi ninavyojifanya mjanja wakati nimefika pale nikiwa mshamba tu, mara nanenepea kwake na vitu vingine vingi. Nikawa nashangaa sana.

"Kumbe hata mumewe akawa haelewi nini kimetokea. Walikuwa na kawaida ya kila mwisho wa wiki wanatoka na watoto, wanaenda katika baa zenye michezo ya watoto, huko mimi nawaangalia watoto wakicheza, wao wanakunywa. Siku hiyo wakatoka kama kawaida, tulipofika kule, yule mumewe akamwambia alihitaji kuongea na sisi kabla watoto hawajaenda kucheza.

"Akamuuliza mkewe tatizo lilikuwa nini hata siku hizi amenibadilikia? Mkewe hakuwa na jibu zaidi ya kusema eti mimi ndiye ninamuudhi. Nikaulizwa kwa nini ninamuudhi, nikasema mimi sijui namuudhi nini, kama ni hivyo naomba aniambie maana mimi sitaki tugombane, nashangaa akakasirika tena akanifukuza niende na watoto.

"Wakati mke akiwa hivyo, nikashangaa mume wake akawa kila akija, lazima aniite anipe neno la faraja, ananiambia nisijali sana yanayotokea pale nyumbani, mkewe ana mambo yake kichwani hivyo nisijali wala nisipate hasira. Kama nitaona mambo yamezidi, basi ni bora nimwambie yeye atajua cha kufanya. Nikakubali na kwa kweli, sikumjali sana mama.

"Ikawa kila nikipata maumivu ya kusemwa, kusangenywa na kusimangwa, baba akirudi ananipa moyo na matumaini, wakati mwingine alikuwa ananipa hadi hela, elfu tano, kumi akiniambia niwe nanunua matunda nakunywa.

"Mwanzo wakati akinipa matumaini na hela, niliamini ni njia ya kuniingia ili anitongoze, kwa hiyo nikawa namfuatilia kwa umakini, lakini kadiri siku zinavyoenda, sikuona dalili yoyote ya kunitongoza. Ikaja siku ambayo iliniuma sana. Siku hiyo walirudi pamoja, baada ya chakula, yule mama akaniambia amechoka kuishi na mimi.

"Akaanza kunishambulia kwa maneno ya kejeli za kila siku, simango na mambo chungu mzima, akasema anasafiri, atakaporudi baada ya siku mbili, anikute nimekusanya vyangu niende kwetu. Nililia sana, siyo kwa sababu narudi kwetu, bali yale maneno ya kudhalilishwa.

"Kesho yake asubuhi akaondoka na mumewe nadhani ndiyo hiyo safari yake. Huku nyuma mume wake kila baada ya muda mfupi alikuwa akinipigia simu ananiuliza maswali, umeshindaje, unajisikiaje, usiwe na hofu, kila kitu kitakuwa sawa. Lazima nikiri kwamba hii ilisaidia sana kunifariji, maana nilishafikia hatua nikataka niondoke niwaachie mlango wazi watoto wao watajijua wenyewe kwa sababu kwenye simu nilikuwa na hela zaidi ya laki nne.

"Jioni yule baba aliporudi, akasema niandae chakula tule pamoja, wakati tunakula na watoto akaanza tena kuomba radhi kwa tabia ya mke wake. Mimi nikaanza kulia, yule mzee akanisogelea na kunilaza kwenye miguu yake akinibembeleza ninyamaze na watoto nao wakaanza kulia walivyoniona ninalia.

"Ikabidi ninyamaze ili kuwabembeleza watoto. Baadae watoto wakalala. Nikiwa bado pale sebuleni naangalia televisheni, yule baba akaja akaniambia muda wa kulala ukifika nizime tv maana yeye anajisikia amechoka. Nilijisikia kama kuna kitu nimekosa hivi, moyo ukawa kama unahitaji kitu.

"Sasa nikawa kama nataka kusema kitu nashindwa, yule baba akagundua, akaniuliza kuna shida, nikatingisha kichwa, akasema hapana, njoo uniambie. Akaenda kukaa kwenye kochi akaniambie nikende, nikaenda kujkaa karibu yake. Akaniuliza tena shida nini, nikaanza kulia!

"Yule baba akanisogeza miguuni mwake, akanilaza na kuanza kunibembeleza huku akifanya kama ananisuguasugua mgongoni. Ajabu, nilikuwa nasikia raha ya ajabu. Basi bwana, alifanya vile kwa muda kidogo, nami nikajikuta naanza kumfinyafinya kwenye pajama zake.

" Hata sijui ilitokeaje, tukajikuta tumefanya mapenzi hapohapo sebuleni . Nilijisikia raha sana. Mama alivyorudi, naona hasira zilikuwa zimepungua, hakuzungumzia tena suala la mimi kwenda kwetu. Mimi na baba tukawa sasa tunafanya kila siku, alikuwa akienda, muda flani anarudi.

"Baada ya kama mwezi mmoja hivi, nikaanza kuhisi hatari, siku moja jioni tukiwa pamoja, nikawaambia naomba nirudi, shangazi yangu ni mgonjwa. Wakaniruhusu na tukapanga siku ya kuondoka.

"Baba alinisindikiza, njiani nikamwambia mimi siendi Nzega, nitabakia Dar lakini si nyumbani kwao. Akashangaa sana, akaniuliza naenda wapi, nikamwambia nitajua tu. Akakataa, akanipangia gesti kule Kimara kwa siku tatu, baadaye akaja nipeleka kwenye nyumba moja alinipangia kule Kivule.

"Hadi leo naendelea naye.....

 

 

No comments