DK ABBAS ALAMBA SHAVU KWA MAAFISA HABARI

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, leo Mei 24, 2021, ametunukiwa Tuzo ya Shukrani kutoka kwa viongozi na wanachama wa Chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (Tagco) kwa mchango wake aliotuka katika kuleta mageuzi katika utoaji wa habari za Serikali alipokuwa Msemaji Mkuu wa Serikali.

Post a Comment