MTUKUTU MARIO BALOTELLI ANAPOPATA UFAHAMU!!

Mario Balotelli Now Training With Fourth-Division Semi-Pro Team


 "Ninawaomba wachezaji wote wenye asili kutoka Afrika tuweke pesa sehemu moja tuipe thamani Afrika.

Tuna uwezo wa kifedha, nina imani hiyo kabisa kwa pamoja twaweza kujenga viwanja vitano vya kifahari kwa kila nchi halafu tunaunda michuano yetu na sisi ili tuwe na amani na sisi kuhusu rangi yetu, tuwapishe wazungu na ardhi yao ambayo kila kukicha matatizo yanakuwa zaidi, kisa tu tuko Waafrika na ngozi yetu nyeusi hawaipendi.

Afrika Kuna vipaji vingi na vinakosa sapoti kwa hiyo sisi wachezaji ambao tayari tuna kipato tunaweza kukuza zaidi vipaji vya Afrika huku tukiweka michuano na sisi mfano Champions league yenye nguvu na yenye thamani halafu tukakubaliana kuwa hakuna mchezaji kutoka Afrika atacheza tena Ulaya, yote yanawezekana ingawa nitapata watu ambao watapingana na mimi." 

No comments