Wasanii wakutana studio kumuaga JPM
Baadhi ya wasanii maarufu nchini, wakiongozwa
na mkongwe Khadija Kopa wamejikusanya na kuingia studio kuandaa wimbo wa pamoja
wa kumuaga Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Wasanii hao ni pamoja na Diamond
Platnumz, RayVanny, Jux, Marioo, Malkia Karen, Zuchu, Christina Shusho, Gnako,
Abbah, S2kyz na wengineo waliokutana katika studio za Wanene.

Post a Comment