WANANCHI WATIA TIMU KUMUAGA JPM
MABINGWA wa
kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africans, leo wamekuwa timu ya kwanza
inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kwenda uwanjani kama kikosi na kutoa
heshima zao za mwisho kwa Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Wakiwa katika sare
zao rasmi, vinara hao walio juu kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu, waliwasili
wakiwa ni wachezaji, viongozi, benchi la ufundi na wadau wengine muhimu.

Post a Comment