Ruud Van Nistelrooy 🗣: Haya mahaba kwa Messi too much

Mshambuliaji wa
zamani wa Uholanzi, Ruud Van Nistelrooy amekuja na mpya baada ya kutoa kauli
hii kuonyesha kuwa anamkubali zaidi nyota wa Barcelona na Argentina, Lionel
Messi.
"Cristiano ni
mpachika mabao, Iniesta anatumia akili nyingi, Salah, Mané, Hazard na Mbappé ni
wachezaji mahiri sana wanaotokea pembeni.
"Lakini
ukiwaunganisha wote hao kwa pamoja, unampata Messi. Hakuna yeyote
anayemsogelea."
Kwa hisani ya
BeeSports

Post a Comment