Nani kuwa Makamu wa Rais?
Majaliwa Kassim
Majaliwa anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu. Lakini Taifa ni lazima limpate
Makamu wa Rais.
Ni dhahiri, mtu
huyo atapatikana leo, katika Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM, ambacho kitaongozwa
kwa mara ya kwanza na Mwenyekiti wake mpya, Rais Samia Suluhu Hassan.
Majina kadhaa
yanatajwa na wengine wameweka mpangilio wao. Wanaotajwa ni pamoja na aliyewahi
kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na baadaye kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania
nchini Brazil, Emanuel Nchimbi.
Lakini pia, jina la
January Makamba nalo linatajwa kama mmoja wa watu wanaofaa kuvaa viatu vya
umakamu wa rais.

Post a Comment