Nani ali hack simu ya Msolla?

 Kuna maswali mengi kuliko majibu.

Kipa wa Yanga, Metacha Mlata anadai alipigiwa simu na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla na kuambiwa maneno yaliyomvunja moyo. Lakini Msolla anadai hajawahi kuwapigia simu wachezaji wake, ingawa anakiri kuwa simu yake ndiyo iliyotumiwa!

Anadai kuna mtu ali hack yaani alidukua na kumpigia Metacha. Ni jasiri gani huyu aliyefanya kitendo hiki? Kama hili lilitokea, ni kosa la jinai ambalo sheria zinapaswa kuchukua mkondo wake. TCRA na kitengo cha Cyber Crime ndiyo wakati wao wa kutuonyesha uwezo wao wa kufanya kazi 

No comments