MSIBA mzito uliolikumba Taifa limewakutanisha watu mbalimbali pamoja. Leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, vijana wawili wawekezaji, Diamond Platnumz kutoka Wasafi Media na Majizo wa EFM walikaa pamoja wakifuatilia shughuli za kuaga huku wakibadilishana mawazo
Post a Comment