sIMBA YATAJWA UWEZEKANO KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA LA VILABU, YANGA HAIMO
Baada ya Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu utakao shirikisha timu 32, zikiwemo nne kutoka Shirikisho la Soka Afrika kuanza kufanya kazi.
FIFA ilithibitisha kuwa timu tatu za Kiafrika zitafuzu kupitia "njia ya mabingwa" na moja kupitia "njia ya viwango". Kama washindi wa awali wa Ligi ya Mabingwa ya CAF, Al Ahly na Wydad Athletic Club tayari wamejikatia tiketi, huku mshindi wa Ligi ya Mabingwa ya CAF 2023/24 pia atafuzu.
Hivi ndivyo viwango vya FIFA kwa timu za Kiafrika zinazotarajiwa kufuzu kwa Mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025
1. Al Ahly
2. Wydad
3. Mamelodi Sundowns
4. ES Tunis
5. CR Belouizdad
6. Petro de Luanda
7. Simba SC
8. Raja CA
9. Al Hilal
10. Horoya AC
11. Kaizer Chiefs

Post a Comment