Mtambo mmoja JNHHP wa megawati 235 kuwashwa leo
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko mapema leo anatarajia kushuhudia uwashaji wa mtambo mmoja kati ya mitambo 9 ya kuzalisha umeme katika mradi wa bwana la uzalishaji wa umeme Julius Nyerere Rufiji 8
Mtambo huo una uwezo wa Kuzalisha Megawat 235 za umeme
Megawati hizo 235 zinatarajia kuingizwa katika grid ya Taifa na kuongeza uimarishaji wa upatikanaji wa umeme nchini

Post a Comment