Makongoro apokea na kukabidhi magari 10 sekta ya afya Rukwa
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere amepokea magari 10 kwa ajili ya sekta ya afya Mkoani Rukwa leo tarehe 14 Februari 2024.
Akikabidhi magari hayo ambayo ni magari ya wagonjwa 6 na ya usimamizi 4 Mheshimiwa Makongoro amewaelekeza Wakurugenzi kuyatunza ili yatimize lengo la Serikali.
#Mama yuko Kazini Kazi Iendelee

Post a Comment