Kocha aliyeipa ubingwa Senegal AFCON ajiuzulu
Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal, maarufu kama Simba wa Teranga, Aliou Cisse ametangaza kujiuzulu kazi hiyo baada ya kuifanya kwa muda wa miaka tisa. Cisse, ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa kikosi hicho kilichotwaa ubingwa wa Afcon mwaka huu kwenye michuano iliyofanyika nyumbani, amesema ameachana na kazi hiyo kwa sababu zake binafsi.

Post a Comment