Nchi ya Ethiopia imepiga marufuku uingizaji magari ya kutumia Mafuta rasmi kuanzia mwaka huu.Inakuwa Nchi ya kwanza Kuchukua hatua hiyo hapa Duniani huku Ulaya ikiwa imeweka deadline yake kufika 2035 hakuna gari ya Mafuta itaruhusiwa Barabarani.
Post a Comment