Mh Mnyeti agawa mfuko wa Jimbo kwa madiwani Misungwi


Na King Bashite

Misungwi - Mwanza 

Mh mbunge wa Jimbo la Misungwi na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti mapema jana amefanya kikao Cha Madiwani wa kata zote zilizokuwa ameahidi kugawa MFUKO WA JIMBO kama utaratibu wake wa siku zote.

Mh mbunge Mnyeti ametoa shukurani za dhati kwa Madiwani wote wanaompa ushirikiano mkubwa muda wote ktk kutekereza jukumu lake la uwakilishi.

Mh Diwani wa kata ya mbarika Mh Joel Japheth Dogani ( JOJADO) Kwa mara ya kwanza kaamua kumuunga mkono wazi mh Mnyeti kwani awali alikuwa Mtu wa Kitwanga miaka yote na Leo kathibitisha kuwa Hakika Mnyeti anatosha Jimbo hili hadi Sasa.

Mh Diwani JOJADO amesema yupo tayari kutoa ushirikiano mkubwa hadi Sasa na kumuomba mh Mnyeti amsamehe na maisha yaendelee ili watimize jukumu lao la kuwaleta maendeleo wananchi wa kata ya Mbarika.


No comments