Hersi Ana kwa Ana na Mbape
RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said akiwa katika picha na Nahodha wa Ufaransa, Kyllian Mbape mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya timu ya nyota huyo, PSG na Tolouse. Hersi, ambaye pia ni Rais wa Vilabu Barani Afrika na Mjumbe wa Kamati ya Hamasa ya timu za Taifa Tanzania, yupo Ufaransa kwa jambo lake ambalo mashabiki wanalihusisha na Yanga.
Tusubiri Tuone!

Post a Comment