Aliyedaiwa kuua kwa kumchoma Beatrace visu 25 afariki mikononi mwa Polisi
Bwana Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kusababisha umauti wa Beatrice Minja kwa kumchoma visu mara 25 mwilini. Naye inasemekana ameaga dunia leo alfajiri.
Sababu za kifo chake hazijawekwa wazi lakini inasemekana alipokuwa anakaribia kukamatwa alikunywa sumu. Inasemekana alipatiwa huduma ya kwanza kutapishwa sumu hiyo lakini amefariki baadaye.
Source: ndugu wa mtuhumiwa

Post a Comment