RC Senyamule awakaribisha IFM kuwekeza Dodoma


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wahitimu wa masomo ya uhasibu kutumia teknolojia kwa uadilifu, uzalendo na matokeo chanya kama ilivyokusudiwa kwani mifumo mingi ya kihasibu kwa sasa hutumia tehama ili kurahisisha kazi na kuleta tija. 

Mhe.Senyamule amesema Uwepo wa mifumo peke yake haitoshi , ili faida yake ionekana inataka watumiaji sahihi na waadilifu wa mifumo hiyo kwani ndo wasomi,taasisi za una na serikali wat aina manufaa yao kuwa na mifumo hiyo.

Mkuu huyo wa Mkoa wa Dodoma Aliyasema hayo juzi Tarehe 15/12/2023 alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) tawi la Dodoma ambapo wahitaji wa ngazi mbalimbali wa kitunukiwa vyeti vya uhitimu wa masomo katika fani ya uhasibu na usimamizi wa fedha

No comments