Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amepokwa mafao yake ya Urais baada ya kujiingiza tena kwenye siasa, kinyume na Katiba ya nchi hiyo.
Mafao yaliyopokwa ni pamoja na walinzi, matibabu, wasaidizi na posho, vitu ambavyo kisheria alipaswa kupata kwa muda wote baada ya kuachaurais.
Post a Comment