Usitishaji vita wa muda wa siku saba umemalizika, lakini kama mwandishi wetu wa Gaza Rushdi Abu Alouf alivyoripoti awali, afisa wa Palestina anasema wapatanishi wanaendelea na juhudi za kufikia makubaliano kati ya pande hizo mbili, hata kama mapigano yanaanza tena.BBC
Post a Comment