WCB wamtambulisha msanii mpya leo

 


lEBO ya wasafi leo imemtambulisha msanii wake mpya, anayeenda kwa jina la D Voice ambaye habari zinasema hasa ni mtaalam wa muziki wa singeli. 

No comments