Tripple C awataka Simba kuondoa tofauti
Mara baada ya mchezo huo, kumekuwa na maneno mengi, ikiwamo tuhuma kwamba kulikuwa na hujuma miongoni mwa wachgezaji, wakiwemo Chama ambao walihongwa ili kucheza chini ya kiwango. Aidha, kumekuwa na taarifa mitandaoni kuwa wachezaji kadhaa, akiwemo kiungo huyo mshambuliaji, kutokana na tuhuma za hujuma.

Post a Comment